Siku nyingi sijapita humu, leo ninaangalia mpira, kwa mchezo wanaocheza Arsenal. kama hawatobadilika basi maumivu makali yanatusubiri, tactic za coach haziwezi apply kwa english football,
nitarudi baada ya arsenal kubadili mchezo penginepo mwisho wa ligi