Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,824
Mkuu ninamheshima na kumhusudu Cesc sasa kuna dalili za kuondoka ndugu yangu! Aliisha sema anapenda siku moja acheze Barca! All is good najua mtajipanga tu.....kuna wonder kidz around wengi Msee Wenger anawaspot! teh teh teh
refa baada kuwabeba sio? penati ya wazi kaenda kuwatosa bolton anyway tumezoea hayo na mtanasa tu.
Mavi ya kale hayo........hayanuki(Yaliyopita si ndwele,tugange yajayo)....Let's look forward basiiiiiiiii
Hebu ya mwagie maji uone harufu yake!
Hebu ya mwagie maji uone harufu yake!
mmh hukubali kushindwa weye hata inapobidi??
hahahahah as usual ur horny!
@wapenzi wote wa Arsenal,
kila la kheri kwa timu yenu and I TRUST itwatoa kimasomaso kwenye game ya leo dhidi ya Tottenham and put smiles on your faces once again!!
Hahaaaaaaaaa...That's what's up....Kweli tutashinda leo(kwa baraka zako hizi mama ushindi lazima)
Leo Masa ajitoe kafara labda.......hahahaaaaaaaaaa lol!!!
Hahahahahaah unamjua Chuji?
'Asumani Idd' ofcoz Athmani Idd
si kiungo mkabaji wa Yanga.....uliza jingine
'Asumani Idd' ofcoz Athmani Idd
si kiungo mkabaji wa Yanga.....uliza jingine
Hahahaah umenifurahisha sana! Kumbe wamo!
Je wajua nini kuhusu kidole cha Chuji? hahahahahahahaha
dah hapo washabiki wasimba watakua kwenye position ya kudadavua vizuri mzee!!!!
subiri watakupa jibu....hahaaaa lol