Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,211
Duu Arse nal mko juu! Silvestre naye?
kuna rumours ya arshavin kuondoka hii ndio inanisumbua akili sana japo kuwa haijanistua sana kutokana na body language yake inavyoonyesha lately.sema i hope tutaweza ku-solve tofauti yetu na yeye hili abadilishe mawazo na kurudisha furaha.
kama anamtaka berbatov basi hakukuwa na sababu ya kumuuza adebayor ha ha ha.dogo chamakh anakuja pale kusaidiana na van persie.Nasikia Wenger anamnyemelea Berbat-off hahahahahaha atawafaa sana! Hata Van Niestroy yupo available wanaweza kuziba pengo la Arshavin
kama anamtaka berbatov basi hakukuwa na sababu ya kumuuza adebayor ha ha ha.dogo chamakh anakuja pale kusaidiana na van persie.
kama anamtaka berbatov basi hakukuwa na sababu ya kumuuza adebayor ha ha ha.dogo chamakh anakuja pale kusaidiana na van persie.
Chama K is useless kama alivyo Nasri kelele zilikuwa mingi hakuna kitu.....Mbona Madrido hawajamtaka?
Chama K is useless kama alivyo Nasri kelele zilikuwa mingi hakuna kitu.....Mbona Madrido hawajamtaka?
Dah...Kumbe kipimo cha mchezaji ni mpaka atakiwe na Madrido!!!!!!!!!...Kazi kwelikweli Nkwingwa....
masanilo akikosa hoja huwa anatundika chochote kinachomjia kichwani au sijui kashaanza kulewa huku anasubiri game yao baadae ha ha ha.Dah...Kumbe kipimo cha mchezaji ni mpaka atakiwe na Madrido!!!!!!!!!...Kazi kwelikweli Nkwingwa....
masanilo akikosa hoja huwa anatundika chochote kinachomjia kichwani au sijui kashaanza kulewa huku anasubiri game yao baadae ha ha ha.
Mazee wale ni Galácticos hebu angalia shehena ya wachezaji iliyo nayo pale?Huyo Chama K is a small fish in da sea. Msajili walinzi umesikia Song anakwenda AC Milan?
HAhahahahaha haya mazeee naelekea Pub sasa! tuwasiliane kesho regardless ya matokeo ya leo
Mazee wale ni Galácticos hebu angalia shehena ya wachezaji iliyo nayo pale?Huyo Chama K is a small fish in da sea. Msajili walinzi umesikia Song anakwenda AC Milan?
Song aende tu...Tutasajili mlinzi this time..Aende tu(kama anataka)...Kaondoka Flamini,Hleb,Vieira,Edu et al,so akiondoka tutampata tu mwingine bana
Mazee wale ni Galácticos hebu angalia shehena ya wachezaji iliyo nayo pale?Huyo Chama K is a small fish in da sea. Msajili walinzi umesikia Song anakwenda AC Milan?
policy ya mzee mara nyingi inategemea na attitude ya mchezaji mwenyewe na kwa hilo sijaliona kwa Song bado.ni kweli kuna timu zitatoa offer lakini Song sio mchezaji wakuongezea chumvi hili aondoke.Kwangu Song ndio mchezaji bora wa Arsenal msimu huu but kwa policy za huyo Mzee kuondoka si ajabu
Defense jamani Arse nal .....pale kwenu nyuma naonaga mchezaji ni mmoja tu! Thomas Vermaelen wale wengine akina Clinchy ni mizuka tu!