Kuna game imepita bila updates kutoka kwa members wa Arsenal?jaribu kuangalia upya ila umu ni kawaida sana kua kimya kama unafuatilia hii thread mpaka kuwe na mechi utawaona tena mostly wengi wanakuja baada ya game.
At last nawaona Lacazette,Ozil na Sanchez at the same page,all the best lads hii game ngumu pia kama ambavyo tunataka kufufuka kwao ndivyo Everton anapanga afufukie kwetu na yule Koeman anajua kutusumbua na mbaya zaidi Wazza yupo pale mbele siku zote ana bahati ya kutufunga.
COYG.....