Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Loooo we jamaa Mungu anakuona ila utakuwa utani sifikirii kama una maanisha ulichoandika.
 
Match day

Tunazihitaji 3 Pts leo kuliko kitu chochote,all the best Gunners.
 
HT
Arsenal 1-0 Brighton
Pamoja na kucheza vizuri 1st half ila tatizo la umaliziaji bado linatusumbua,tusipo score goli mapema 2nd half tunaweza jikuta tunapata matokeo mabovu.
 
Tunamuhitaji wilshere humu iwobi naona hana impact Sana nafasi nyingi tulizopata ni makosa waliyofanya hawa jamaa,tunahitaji wilshere kuongeza ubunifu ingiza Jack ramsey akacheze kwa iwobi
 
Tunamuhitaji wilshere humu iwobi naona hana impact Sana nafasi nyingi tulizopata ni makosa waliyofanya hawa jamaa,tunahitaji wilshere kuongeza ubunifu ingiza Jack ramsey akacheze kwa iwobi

Iwobi sioni kabisa mchango wake leo,timu ime-possess na tuna attempts kibao hakuna mtu wa kuiua game very disappointing
 
Ok ok ok atleast tunaweza kufikiria 3 pts.
Iwobi kwenye score sheet
Arsenal 2-0 Brighton.
 
FT
Arsenal 2-0 Brighton
3 Pts muhimu kabisa pamoja na kua sio matokeo ya kufurahisha sana.
 
Hongereni watani siku hizi points mpaka uzichukue timu zimejiandaa sio matokeo yapatikane kabla ya mchezo
 
Usmanov....[emoji1547][emoji1547]

Kroenke siku akizitia mikononi hizo 30% hii timu itakua kama Super market tu mwendo wa biashara bila kujali mambo mengine.
 
Nawaona mmeanza kumuulizia martial kama hamna £150 msijidanganye
[emoji109][emoji109][emoji3][emoji3]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…