Arsenal uingereza ilikuwa inasumbuliwa na Man Utd pekee. Kwa kocha ilikuwa mourinho ila kwa sasa mwiko umevunjwa.
Wenger alibugi kumchezesha Ox ile game ndiyo maana baadhi ya wachezaji waligundua mchezo mchafu mfano Sanchez.
Hadi sasa naamini arsenal wana kikosi kizuri kuliko timu zote bali matumizi tu .
Welbeck atakua nje ya uwanja kwa muda wa mwezi 1 sababu ya majeruhi aliyoyapata kwenye game ya Chelsea na wakati huo Ozil amerejea kwenye mazoezi baada ya kua nje kutoka na majeruhi madogo.
FT
Arsenal 1-0 Doncaster
Poor perfomance hasa kipindi cha pili nilikua sielewi kama hawa wachezaji wetu wanafahamiana au wamekutana tu leo,all in all tumeshinda ndio muhimu kwa sasa.
mwenye clip ya scorpion kick ya geroud akifunga against crystal palace anitumie kweny whatsup 0655640213. nimejaribu ku dowload kweny you tube nimeshindwa