Mimi nimeqoute tuu..Kuangalia hii mechi ni sawa na kuangalia manzi wako akiwashiwa moto.
Kuangalia hii mechi ni sawa na kuangalia manzi wako akiwashiwa moto.
Wafiwa wenyewe wamejificha hata nyumbani kwao hawapo.. Waache ndugu zetu wapumzike😀😀😀😀
Mkuu wewe unaona kuishabikia Arsenal ni jambo la kawaida? 😀😀We jamaa umeuaaa
Hawa ni majirani lazima tuwatembelee hasa kwa tukio kkubwa kama hili..