Arsenal wanarukaruka tu, huyu wenger anatufanya tuishi kwa tabu, vijiweni hatukai, makazini tunajifanya tupo serious kumbe sababu ni Arsenal , njia tumebadilisha, jezi hazivaliki,makundi ya whatsup tumejitoa na mabanda tumehama weeee mpaka tumemaliza, wenger utatuua.