Kwa nini wale midfielders wetu wakifika hawatafuti nafasi za kumpa pasi Lacazette?
Muda mwingi Ramsey hata Welbeck pia Bellerin wanashoot ili hali nafasi za kumpa mpira Lacazette zipo