Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Maneno Mengi arsenal kufungw kwenye pre season.hii inaonyesha kuna mbumbu wengi wa mpira hichi ni kipindi cha makocha kujaribu formation mpya kuwapa makinda experience ya first team.na kuwaweka wachezaji fit baada ya kula bata off season.pia siku hizi pre season ni kipindi cha kufanya marketing

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lucas perez anataka kuondoka arsenal baada ya kuona hali ya kupata namba inazidi kua ngumu
 
Reactions: BAK
We’re on the brink of the biggest transfer in football history.

That’s because Paris Saint-Germain are closing in on the signing Neymar for a crazy £199 million.
 
We’re on the brink of the biggest transfer in football history.

That’s because Paris Saint-Germain are closing in on the signing Neymar for a crazy £199 million.
Mpira umekosa heshima kabisa,hiyo hela ni thamani ya neymar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…