Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Inainesha humjui vzr mbappe,au umemwangalia game hazizid 2
Tatizo sio simjui,au nimeangalia game 2,hana hadhi ya hela hyo asilani,,wanampamba tu,wacgezaji wa kuvuma msimu mmoja kisa kaghara aaaaah sio kwel,,,huyu haingii hata nusu kwa Emerick Aubomeyang,,haingii hata robo lukaku wa everton,wala sijamtaja Keane maana nitakua naaibisha mpira.. Ana kipaji ila sio kwa hela hyo,naona wafaransa wanataka wachezaji wao wawe ghali tu dunian,ndio walichobakisha hawa,,jmesahau Payet walisema ni £60ml,,haya yupo wap?? Kisa tu aling'ara kwa msimu mmoja bhaaas,,. Wenger akimnunua kwa gharama hzo nitamdharau saana,kuna watu wanakupa goli30+ kila msimu na hawajafika hela hzo za kiuwendawazimu
 
Mbappe ana deserve kwa hiyo hela

Umri wake mdogo sana,

Ana skills

Ana nguvu za kupambana na beki yoyote yule(pamoja na umri wake)

Ana mbio

Ana chenga pia

Anajua kufunga katika mazingira yoyote yale

USIMFANANISHE MBAPPE NA LUKAKU

labda kane ,

Yaani mbappe ile ni habar nyingine ,
 
Leicester concede that Mahrez will COMPLETE move to Arsenal.
DONE DEAL: Leicester agree deal with Arsenal for Mahrez
90min.com
 
Kila timu aliyofundisha Tony Adams kachemka,ukitaka timu yako ifanikiwe msikilze Tony Adams halafu mpuuze
 
Amefanya hiv kwa misimu mingap? Tutamwona na msimu huu,,yaan siwez mfananisha hata na lacazatte maana jamaa anapiga goli20+ every season..

Labda umri tu ila kumbuka lazima uwe world class player uweze kuuzwa kwa bei hyo,,huyu umri ndio unambeba ila aje kiumen epl utaona atakachofanya.. Anastahili dollar 25 ml.bhas
 
Ni uendawazimu kumnunua Mbappe 95ml,,kwa kipi haswa?
Nakubaliana na wewe, his price tag is overrated. Kacheza msimu mmoja tu bado hajawa na experience n ni mdogo pia. Ndio maana Wenger akashauri dogo atafute timu ambayo atakuwa na uhakika wa kucheza, otherwise kwa price tag hiyo he's overrated.
 
Hata ramos beki bora amejifunga mengi tu

Sasa sijui unaongelea nini

sasa huyo unamfananisha na ramos??
labda mfananishe na skrtel yule aliyekuaga liva ........
 
Nasikia Winger anataka kuwalipa €80M Real Madrid kwa ajili ya James Rodriguez
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…