Kocha mzuri ila hii comment yake tu "...Wenger said in August that he believed "the only way to be a manager is to spend the club's money as if it were your own". Hapo ndipo palianza matatizo, haswa kwa wale wapenzi haswa, wanunua seasons ticket na merchandise..wakawa wanajiuliza huyu anatumia hela kama zake kivipi?! Na wana point kwa kweli..Kwangu itakua habari njema kama AW atakubali ku-extend mkataba wake i still trust the old man.
Kama atakubali kiaje tena mkuu? Mbona imeshakua official tayariKwangu itakua habari njema kama AW atakubali ku-extend mkataba wake i still trust the old man.
Kama atakubali kiaje tena mkuu? Mbona imeshakua official tayari
i can see spurs win the trophy ahead of us now...the old man can't win us either EPL or UCLView attachment 517214
Nilikua nasubiri official statement muda ule naandika comment sikua na taarifa rasmi zaidi ya tetesi za waandishi tu.
Ule mchanyato wao wa backline watu wazima kuanzia 30 kwenda juu ulikuwa ukata kweli walitupa shida sana kuja kupata roho mbaya kama zile za keawon winterburn Lee dixon duh parefuAlichosema Tony Adams kuhusu Gunners....
Nahodha wa zamani wa kikosi cha Arsenal Tony Adams amesema kwamba kikosi cha sasa cha Arsenal hakina uwezo wa kutwaa taji la EPL na anaona utawala wa Wenger kuisha kwa machozi.
Kocha wa Arsenal ameongeza muda wa kuitumikia klabu hiyo kwa kufikia miaka 21 yani miaka miwili zaidi kwa kusaini mkataba mpya.
Hata hivyo Adams ambaye aliiongoza Gunners kutwaa mataji manne ya EPL amesema kwamba "alisali" ili Wenger asiongeze mkataba baada ya kutwaa taji la FA dhidi ya Chelsea na amekiri kwamba kama hakutokuwa na maboresho ya wachezaji wa kiwango cha hali ya Dunia basi anaona mafanikio aliyowahi kuyapata Wenger hapo karibuni yatapakazwa matope.
"Naamini hiki kikosi hakiwezi kutwaa ubingwa katika miaka miwili ijayo . Na huenda heshima yake ikaharibika kwa muda mfupi sana na nafikiri hiyo itakuwa hudhuni kubwa sana hasa ukizingatia makubwa aliyofanya klabuni ."
Labda kweli babu ataumbuka, ila tuseme AW hakupewa mkataba ingekuwaje?! Makocha/Mameneja wa uhakika wote wako kwenye mikataba, alitaka tukae bila kocha/meneja?!Alichosema Tony Adams kuhusu Gunners....
Arsenal are ready to make an improved bid worth £122m to sign Monaco striker Kylian Mbappé. [L'Equipe] [HASHTAG]#afc[/HASHTAG]
Kweli twahitaji striker wa ukweli, ila sidhani kama AW na Arsenal watalipa hizo hela, bahili sana wale, ila najuwa nini?! Nafikiri katikati twahitaji attacking midfielder wa ukweli, defensive midfielder na ofcourse striker wa ukweli, ila kwa Mbappe sawa ila bei..Mabeki naona wako poa tu, haina haja ya kununua wapya...Arsenal have increased their offer for Kylian Mbappe
to £95m, according to reports..
KulitamkaSead Kolasinac has already signed his Arsenal contract which will see him earn £140kpw. The deal will be announced 'shortly'. [SportBILD] Arsenal TSN on Twitter