Per ndio baba mwenye nyumba, ndio father house,ndio landlord,ndio mwenye timu yaani yeye ndio mlezi...hivyo kazi aliyofanya Leo ni sehemu ya majukumu yake ambayo yeye kama baba anapaswa kuyafanya kwa kiwango kile. Costa Leo alikuwa anatukana washabiki tu uatafikiri wao ndio walikuwa wanamkaba.