Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ndugu Yangu imekuwa kama ilivyotakiwa.Leo nimefurahi sana.
 
Hata hivyo Ramsey siyo mwingereza
Mwingereza namaanisha english based players, UK, anatoka Wales ambayo ni sehemu ya Uk.
Baadhi ya timu za Wales kama Swansea, Cardiff etc zipo chini ya FA ambayo inasimamia EPL!
 
Liver leo wamefanikiwa kufanya jambo nililolitamani sana,,huyu Wenger time yake imefika sasa kila mtu atamchoka tu,,msimu ujao tukiwa na hiki kibabu kichovu hata nafasi ya nne hatutaishindania maana muda wa kuanza kushuka chini umefika.Kama Mtu aliemchoka Wenger hapa duniani mimi niko kwenye nne bora.
 
Kijana waki Nigeria, mwasemaje? Ila ndiyo yale yale, vijana, unfinished products, mpaka wakae vizuri miaka 5! Huku wakuu twahitaji mataji sasa, kazi kweli kweli...
HENRY ONYEKURU | AS Eupen | Goals, Skills, Assists | 2016/2017
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…