Mashabaki wengi bado wanaimani na wenger Mkuu.Nakusubiri kibabu wenger kiondoke kwenye timu yetu,,ndo nitaongea..Safari yake kurudi chini imeanza na ninaamini itashika kasi nzuri sana siku zijazo.
hahahaHawa mashabiki wamenikera sana, wamefanya nisione ARSENAL FAN TV
UEFA inakaribia Mkuu.hahaha
wameirekod kishkaji tuu, sijajua what happened ila Robbie alisema kulikuwa na sintofaham
hahaha yesUEFA inakaribia Mkuu.
Hapa ngoja tuwape faraja!hahaha yes
nadhani tutakuwa tunakutana kwenye majukwa mabali mbali huko
Hapa ngoja tuwape faraja!
Hehe eti rafiki wa kweli anatambulika katika matatizo.
Jamii yetu hii bora ukache kuhudhuria sherehe,musiba usipofika utaanza kuitwa mchawi.
nakweli hata kwenye jamii usipo hudhuria misiba ni ishu mbaya sana
kulikoni hata harusi
Jamii yetu hii bora ukache kuhudhuria sherehe,musiba usipofika utaanza kuitwa mchawi.
Sasa hawa wenzetu hatuna ubaya nao hebu Ngoja tuendelee kuhani.
Lete karata za titanic tuendelee kuwafariji...najua kesho asbuhi kutandua musiba tutakunywa uji wa mchele hapa.
Usisahau na vikombe vya ziada!
ngoja nikachukue pilipili nyumbani kwa ajili ya chakula cha msibani
wenyeji hata hawapo, BAK
aiseee pole sana, asa sasa hivi wapi unapata faraja ya mpira???? hakuna katimu ambako kamekuwa substitute ya Arsenal.sister unajua mimi nilivyo Gunners damu damu. Nimechoshwa na matokeo ambayo si kuyaridhisha miaka nenda miaka rudi kama sikosei tangu 1996. Nimeamua kusitisha upenzi wangu mkubwa kwa muda mpaka hapo Babu atapopewa red card na owners au yeye new kuamua kufungasha virago vyake. Hata game ya jana sikuwa na mchecheto wa kuiangalia hata kwa sekunde moja. It is very sad for Arsenal fans all over the World.
aiseee pole sana, asa sasa hivi wapi unapata faraja ya mpira???? hakuna katimu ambako kamekuwa substitute ya Arsenal.
hapo sawa, si mbaya sana kuwa na substitute kupunguza makali ya uchungu.Hahahahaha lol! Mchepuko siyo lol! Bado zile mechi za haja huwa sizikosi na kuna wakati zinakuwa nyingi hata nashindwa kuamua niangalie ipi hivyo hubaki kwenye ile ambayo naona ina ushindani mkubwa na kuchungulia kidogo kwenye zile nyingine. Labda mchepuko naweza kusema ni RMA kwenye la liga na UEFA.
hapo sawa, si mbaya sana kuwa na substitute kupunguza makali ya uchungu.
tunamshukuru Mungu twaendelea poa kabisa.Kabisa aisee haya maradhi ya kupenda ni shida, vipi lakini wewe na baby mnaendeleaje?
Nimekuelewa najua machungu unayopitia ushabiki na upenzi kwa hali kama hii unakuwa katika madhila makubwa pole sana BAKHahahahaha lol! Mchepuko siyo lol! Bado zile mechi za haja huwa sizikosi na kuna wakati zinakuwa nyingi hata nashindwa kuamua niangalie ipi hivyo hubaki kwenye ile ambayo naona ina ushindani mkubwa na kuchungulia kidogo kwenye zile nyingine. Labda mchepuko naweza kusema ni RMA kwenye la liga na UEFA.