Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mancity wana uwezo kuwafunga Arsenal wakati wowote ule lakini wakiongoza wanapumzika hivi
 
Hii timu tia maji tia maji upuuz mtupu bek mbovu kipa pimbi tu yan full upumbav goli gani linafungwa lile
 
Nionavyo arsenal inahitaji kuimarisha safu zote kwani wanapasiana bila malengo, wamekosa goli nyingi hasa Ozil, Welbeck na Walcott
 
Aidha wanasindikiza au wankimbilia golini kuzuia kiki kali kama ya Aguero wataweza
 
Mancity ni wavivu hivyo wanavizia hasa counterattack ambayo imezaa bao la kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…