Haina haja ya kulalamika, kwani lini mlishamtoa bayern??? Sema leo magoli yamekua mengi tuu ndo keleleee eti wenger out, ila poleni sana kwa uendeleza uteja
Poleni sana wakuu kwa kipigo kitakatifu. Ila nina swali, Kwani wachezaji wa Arsenal walikuwa wanacheza wa ngapi uwanjani hadi wakafungwa magoli kumi (10)?
Mwenye majibu plz