Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Aiseee Barca kapigwa 4 sifuri na PSG ..... ....... ...... mshindi wa pili kwenye kinyang'anyiro kwenye group matches .... . na Gunners.
 
Aiseee Barca kapigwa 4 sifuri na PSG ..... ....... ...... mshindi wa pili kwenye kinyang'anyiro kwenye group matches .... . na Gunners.
Barca Baada ya Frank na Gadiola sio Barca tena wanatembea kwenye kivuli chao. Hata sisi tukiwa seriuos hasa Babu kwa namna ya kucheza kwa kuangalia mpinzani wetu Barca ana kufa mengi tu. Sema Babu mkorofi anaamini mbinu zake tu bazo hazifanyi kazi tena bila kujua mbinu za adui
Wenger anasema haondoki mpaka afukuzwe.

Link Arsene Wenger: I gave no indication on Arsenal future
 
Niko pamoja na gunners sijawai kuissuport team nje ya EPL kila la heri wawakilishi
 


[HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]

Nimeambiwa wazee wa Ali Hamisi wapo wanachungulia khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

 


Acheni lote with the professor ....... ..... .... ........ . .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…