Najaribu kuvuta picha huzuni uliyo kuwa nayo wakati unaandika bandiko hili kisha ukakubali matokeo na kujiridhisha ili usiumize nafsi yako zaidi. Pole sana ndugu.
Mimi sioni sababu ya Gunners kupiga kelele hasa kwa Wenger, Arsenal wanajua kabisa miezi hii nafasi yao inapaswa kuwa hipi? Hivyo mnatakiwa kuhakikisha kuwa man haji hapo mlipo