Am happy for yesterday, game niliicheki nilishindwa tu kuungana nanyi live hapa wapendwa.
Kama sio yale makosa tuliyoyafanya ktk mechi zile 3 juzikati hapo huenda leo tungekuwa tunaongea mengine.
Sio case...will forever and always be a Gooner
[HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]
Khe kheeeeeee kheeeeeeee 3 points in our basket🙂🙂🙂Aisee jamaa walipopewa penalty nilishikwa na donge ile mbaya lakini dakika chache baadaye mambo yakawa mambo Gunners 2 wao 1.
Bora wewe mkuu,mimi almanusra nizimie.
Usiulize ile penalt Sanchez alipoitia wavuni niliruka kiasi gani,halafu sehemu niliyokuwa nacheki mashabiki wa Arsenal kibaoooo.
Basi ilikuwa raha hatariiiiii.
Viva Arsenal