Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hongereni washika Bunduki, ligi ngumu, nyie mmepanda, ila MancheSITA bado wapo kwenye nafasi yao ileile ya SITA
 
Ila nasikitika Ramsey amezingua sana na ufundi fundi wake wa kutafuta scorpion kick
 
Wameondoka wavuta bangi wawili(Flamini na Arteta) tumebaki na wahuni wawili(Xhaka na Coq) dakika yoyote wanachoma kibanda moto kheeeeee kheeeee Xhaka kachezea umeme mwenzie Coq kasababisha penati pamoja na wendawazimu nawapenda wachezaji wana namna hii.
 
Wee jamaa kah..hivi kwa nini uko hai

Napumua swahiba
ila leo hali yangu ilikua tete hawa Burnley hata mechi ya kwanza tuliwafunga dakika za nyongeza tena uyo Kos6 ndio aliwaua kama unakumbuka kutumbukiza kwa mikono.
 


Wenger hakuamini kwamba Coquelin hakuzingatia onyo kwamba asicheze rafu ndani ya 18

Lakini habari nzuri ni kwamba Coquelin hajapata kadi nyekundu.

What a relief!
 
Napumua swahiba
ila leo hali yangu ilikua tete hawa Burnley hata mechi ya kwanza tuliwafunga dakika za nyongeza tena uyo Kos6 ndio aliwaua kama unakumbuka kutumbukiza kwa mikono.
Ila asikwambie mtu swahiba ushindi wa pressure namna hii ni mtamu kinoma...kuliko wa goli tano dk ya 20
 
Wacha1 khekhekhekheeeeeeeekheeeeeekheee penaty hyo Lala time
 

Attachments

  • downloadfile.jpg
    46.7 KB · Views: 35

Beki mahiri na mshahara wa Arsenal.

Schkodran Mustafi hajawahi kupoteza mechi akichezea Arsenal

WDWWWWWWDWWDDDWWWDWWW

Mechi alizocheza 21

Mechi ambazo Arsenal imeshinda Mustafi akicheza 15


Mustafi akiifungia timu yake Arsenal goli la kwanza leo dhidi ya Burnley katika dakika ya 59.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…