Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Shukrani sana Mkuu. Tuna mechi nyingine muhimu kesho. Chelsea wanakipiga tena Jumatano na Spurs kama Spurs wataweza kuwasimamisha Chelsea nasi kushinda kesho basi tutapunguza gap kutoka 9 points to 6 points.
Yaani huko tunakoelekea watu tutabanana kama ndizi penye mgomba na huo ndio utakuwa utamu wa ligi kama Chelsea na tot matokeo yakiwa hivyo itaongeza ushindani .
 
Ushindani ukiwa mkali ndiyo inapendeza sana, siyo mshindi kujulikana miezi miwili kabla ya msimu kuisha. Kuna uwezekano ushindani kama utaongezeka baada ya Chelsea kutoa draw au kupoteza baadhi ya mechi zao na hivyo gap kati yao na waliokuwa nyuma yao kupungua, mshindi wa msimu huu kupatikana kwa tofauti ndogo sana ya points au goal differential. Chelsea wanajua umuhimu wa mechi ya Jumatano hivyo watajizatiti ili kujizolea points 3 nyingine dhidi ya Spurs, pia wanataka kutie rekodi ya Arsenal ya kushinda mechi 14 mfululizo. Hii mechi itakuwa tamu sana.

Yaani huko tunakoelekea watu tutabanana kama ndizi penye mgomba na huo ndio utakuwa utamu wa ligi kama Chelsea na tot matokeo yakiwa hivyo itaongeza ushindani .
 

Book date hii


Catch me if you can ..... ...


 
Gunners tupo away leo tutegemee ushindi .... .... . .Ding ... Dong.
 
Arsenal XI: Cech, Bellerin, Mustafi, Koscielny, Monreal, Coquelin, Xhaka, Ramsey, Iwobi, Alexis, Giroud.

Arsenal substitutes: Ospina, Gabriel, Holding, Maitland-Niles, Reine-Adelaide, Oxlade-Chamberlain, Lucas.


 


Prof anakagua kiwanja kabla ya mtanange wa kukata na shoka .... ..
 


Tunategemea OG kufanya vitu vyake kama kawa ..... ....... Ding ... Dong
 




Ngoja tuone leo itakuwaje hapa .... ..... . all the best Gunners .. ... ..[HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]
 
Charlie Daniels anaipatia Bournmaouth goli la kwanza penalty for Bournmouth .... . ..19:30 min .. . 2up Bournmouth ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…