Arsenal (The Gunners) | Special Thread

47 min MC levels with an offside goal ... ..
Unanikumbusha Leonard Mambotele mtangazaji wa KBC zamani kama wao wana Sunday sisi tuna Monday Luo Union vs Yanga Mombasa FAINAL Club Bingwa Africa Mashariki 1976
 
It wasnt offside. The line showed clearly the scorer was level with the far side defender.
 
Great ball from De Bryne....great finish from Sterling! 2-1
 
Ndiyo matatizo ya kufunga kagoli kamoja na kuamua kukalinda wakati bado kuna muda chungu nzima badala ya kutafuta nafasi zaidi ya kuongeza goli/magoli mengine.
 
The Blues leo roho kwatu na whiskey zinashuka kwa raha zetu. Huku tukiangalia WAFU mnavyochimbiana kaburi.
 
Hatuna uwezo wa kulinda goli sisi. Taratibu tunarudi kwenye nafasi yetu.

[HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
 
Reactions: BAK
Tumepoteza mechi ya leo, wachezaji wengi hawakuwa up to the game, City walikuwa more aggresive na kusaidiwa zaidi na mwamuzi. Tutawasubiri wakija Emirates. It wasn't a good game for us. [HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…