Bora tumetoa draw maana mtaani kusingekalika leo hii na kelele za hawa mashetani wekundu. Upangaji wa timu na anao anao nyingi zinatukosesha points za maana sana. Hakukuwa na sababu za Giroud kuwepo bench leo hasa ukitilia maanani hii miezi ya karibuni amekuwa ni mfungaji mzuri katika baadhi ya mechi alizocheza.
Mkuu Liverpool ya Klopp siyo ile ya mtu mmoja aliyoijenga Benitez ama ya watu wawili alioijenga Rodgers.Pole kwa kukosa mke Mkuu, nami naisubiri hiyo game in 24 minutes. Napenda kuwaangalia Liverpool wameanza kucheza kandanda inayovutia kwa wapenzi, natumai na leo pia wataonyesha kandanda safi.
Hii mechi tungeenda kutafuta ushindi sio kucheza cautious game kama tulivyocheza leo. Man Utd walikuwa wanatawala Midfield(nilivyoona) kuliko sisi.
Habari nilizozipata hivi punde, AW aliwaambia wachezaji wachukulie hii mechi kama mazoezi ili kumpa kichwa Moureen kwamba ana timu bora, maana wangepigwa magoli leo angefukuzwa khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Huo ujinga upo kwenu Tanzania.
Tumepoteza 4 points in a spin of games Vs Totts na Manure, tunahitaji kuanza kuchukua points kama tumepagawa sasa. Bring them on .... .... .......
acha kujifariji mkuu.. leo mmeboronga ilitakiwa mshinde game ileHabari nilizozipata hivi punde, AW aliwaambia wachezaji wachukulie hii mechi kama mazoezi ili kumpa kichwa Moureen kwamba ana timu bora, maana wangepigwa magoli leo angefukuzwa khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
acha kujifariji mkuu.. leo mmeboronga ilitakiwa mshinde game ile
Tumepoteza 4 points in a spin of games Vs Totts na Manure, tunahitaji kuanza kuchukua points kama tumepagawa sasa. Bring them on .... .... .......
Namuomba Mungu Ramsey auume msimu mzima .....