Arsenal (The Gunners) | Special Thread



kaboom .. ..... ...




Alexis alitakiwa asicheze, OG kwa mara nyingine anaingia na kututoa a well worked goal, OG alitakiwa tangu mwanzo jinsi mpira ulivyokuwa unachezwa. Anyway ngoja tuwasubiri PSG sasa kwenye CL. Prof bring the two to level the score Ding ... ... Dong.
 
Ramsey anazingua, anapoteza mipira, anapiga back pass nyingi, bora angeanza iwobi na wenger atatuharibia kikosi chetu kama akimuendekeza huyu Ramsey
 
Nyie Arsenal siwezi kuwasamehe.....mmenikosesha Mke kizembe sana......Wacha nijiandae kwa game ya Liverpool.....Chama langu halijawahi kuniangusha!
 
Bora tumetoa draw maana mtaani kusingekalika leo hii na kelele za hawa mashetani wekundu. Upangaji wa timu na anao anao nyingi zinatukosesha points za maana sana. Hakukuwa na sababu za Giroud kuwepo bench leo hasa ukitilia maanani hii miezi ya karibuni amekuwa ni mfungaji mzuri katika baadhi ya mechi alizocheza.
 
Pole kwa kukosa mke Mkuu, nami naisubiri hiyo game in 24 minutes. Napenda kuwaangalia Liverpool wameanza kucheza kandanda inayovutia kwa wapenzi, natumai na leo pia wataonyesha kandanda safi.

Nyie Arsenal siwezi kuwasamehe.....mmenikosesha Mke kizembe sana......Wacha nijiandae kwa game ya Liverpool.....Chama langu halijawahi kuniangusha!
 
Walcott takes a blame for Mata goal as he says he was supposed to mark him at that point ...... ....... .... I had that Manure players are crying for the draw as they wanted to win so badly. Wameshachoka kucheza kila Ali Hamisi.
 
Weakness ya babu ni kumpanga Elneny na Coquelin pamoja. Hakukuwa na creativity kabisa katikati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…