Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kweli babu n kiazi anshindwa kutengeneza timu chek anavyo MPA kichwa mor
 
Mpira haunogi sehemu classic niffah,,sehem hata refa akifanya uhuni unaona aibu kutukana.....raha ya soka banda umiza....
Duh!Sipatii picha mnavyoyaporomosha huko...lol
Kuna siku nilienda Coco kucheki game ya Man U vs Real Madrid UEFA.
Daaaah mashabiki wa Man U wanatukana kinomaaa,hasira zilinikaba nilijikaza sana.

Kibao kilipoanza kugeuka (walipofungwa kimyaaaaa)
Lile goal alilofunga Cr7 hadi leo sisahau!Nilipanda juu ya kiti kushangilia

Mashabiki wa Man U waliniona nuksi kinoma.
 
87min no creativity hizi subs zilitakiwa baada ya half time, very ..... 1 - I OG .... Ding dong.
 
4min extra time .. ... OG katutoa .... .... Ox assist
 
Huyu refa bure kabisa anataka Manure washinde anamuogopa Moreen ... . .. and that's it 1 - 1 final score
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…