Southampton itakuwa shughuli next round...
Bora tungekutana hata na man u kuliko hawa watoto, itakuwa mziki japo tutashindaThe draw for quarter finals .... .. Gunners at Home.
Loser fools Vs Leeds
Manure Vs West Ham
Hull Vs New Castle
Arsenal Vs Southampton
Nasikia Perez atakosekana kwa wiki 6 hivi. Zile nyakati za majeruhi ndio zimewadia Emirates. Mungu atusaidie. Cazorla nadhani atakuwepo week end at Sunderland. Xhaka atakuwepo vs Spurs.
Perez atakuwa nje kwa wiki kadhaa.
Wenger anaweza kuchukua "risk" kumtumia Cazorla kipindi cha kwanza na akamtoa kipindi cha pili. Chamberlain anaweza kuanza badala ya lwobi au Iwobi akaanza.
Arsenal bila Cazola walisumbuka sana kwa Middlesbrough hivyo wanahitaji 3 poits kuongeza gap.
Giroud na Ramsey wataanzia bench.
Hivyo timu itakayoanza inaweza kuwa kama ifuatavyo:
Cech; Bellerin, Mustafi, Koscielny, Monreal; Coquelin, Cazorla; Walcott, Ozil, Oxlade-Chamberlain na mbele Alexis Sanchez.
Hizo highlighted info umezitowa wapi? mkuu Nipe link, maana nilisikia Wenger anasema Ramsey japokuwa ameshaanza mazoezi full time lakini bado hayupo tayari kucheza mechi. Inaelekea atacheza mechi mazoezi na chipukizi then ndio awe tayari kurudi dimbani.
Bado mdudu Mbu Kurejea.BAK kama kawa, lete maneno. Thanks mkuu tupo pamoja, I'm here to stay but as you know an open forum like this anything can happen, but the intention is to contribute positively and at the same time to learn what you do not know. Ding ... Dong.
Xhaka vp kwani adhabu haijaisha?
Indeed. Our New Henry without the 14.hahaa, sanchez is our new henry