Arsenal (The Gunners) | Special Thread

GOLI

Arsenal 2 Basel 0



Sanchez anapasiana na Walcott na Walcott has his day today, anafunga goli la pili.
 
Refa sidhani kama yupo sawa pale. Kama vile Walcott kafanyiwa faulo.
 
Jamani eeh tusije kujutia haya magoli tunayokosa kama ile mechi na ile timu ya Belgium msimu uliopita
 

Ozil akikosa goli la wazi kuwa kupiga mkwaju pembeni ya goli.

Arsenal wanahitaji goli la tatu ili kuwa na uhakika zaidi wa ushindi wao.

Alexis Sanchez yupo kila mahali na Theo Walcott anaonekana ni mshambuliaji tuliemsajili hivi karibuni.

Tusubirie kipindi cha pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…