Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Sep 9, 2016 #49,381 bigonzo said: Arsenal mwaka huu uwezekano wa kushuka daraja ni mkubwa sana Click to expand... Haya mtabiri
bigonzo said: Arsenal mwaka huu uwezekano wa kushuka daraja ni mkubwa sana Click to expand... Haya mtabiri
Kitombise JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 8,652 Reaction score 25,849 Sep 10, 2016 #49,382 Arsenal leo mnakaribishwa kwenye thread yetu ya Man U kuja kutupa pongezi baada ya kumfunga Man City 3-0 Asanteni.
Arsenal leo mnakaribishwa kwenye thread yetu ya Man U kuja kutupa pongezi baada ya kumfunga Man City 3-0 Asanteni.
Egwugu JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 17,558 Reaction score 8,552 Sep 10, 2016 #49,384 I love arsenal kwasababu naipenda!
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Sep 10, 2016 #49,385 jonax said: Arsenal leo mnakaribishwa kwenye thread yetu ya Man U kuja kutupa pongezi baada ya kumfunga Man City 3-0 Asanteni. Click to expand... Kumbe mnashinda Leo.!
jonax said: Arsenal leo mnakaribishwa kwenye thread yetu ya Man U kuja kutupa pongezi baada ya kumfunga Man City 3-0 Asanteni. Click to expand... Kumbe mnashinda Leo.!
Azim Sokoine JF-Expert Member Joined Aug 20, 2014 Posts 1,485 Reaction score 2,752 Sep 10, 2016 #49,386 huyu mzee bana xhaka & sanchez out kweny first eleven
UrbanGentleman JF-Expert Member Joined Jun 19, 2016 Posts 2,584 Reaction score 1,886 Sep 10, 2016 #49,387 Tutashinda
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,564 Reaction score 119,620 Sep 10, 2016 #49,388 Kama kawaida, leo tunadhinda game. Naona Alexis kaanzia bench leo.
UrbanGentleman JF-Expert Member Joined Jun 19, 2016 Posts 2,584 Reaction score 1,886 Sep 10, 2016 #49,389 Eli79 said: Kama kawaida, leo tunadhinda game. Naona Alexis kaanzia bench leo. Click to expand... southumpton niwakamiaj sana so no vizuri sana kuwaanzisha hao bench ni muhimu mno
Eli79 said: Kama kawaida, leo tunadhinda game. Naona Alexis kaanzia bench leo. Click to expand... southumpton niwakamiaj sana so no vizuri sana kuwaanzisha hao bench ni muhimu mno
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 Sep 10, 2016 #49,390 jonax said: Arsenal leo mnakaribishwa kwenye thread yetu ya Man U kuja kutupa pongezi baada ya kumfunga Man City 3-0 Asanteni. Click to expand... Hongereni sana kwa ushindi mkuu...
jonax said: Arsenal leo mnakaribishwa kwenye thread yetu ya Man U kuja kutupa pongezi baada ya kumfunga Man City 3-0 Asanteni. Click to expand... Hongereni sana kwa ushindi mkuu...
ipatama JF-Expert Member Joined Jun 16, 2016 Posts 348 Reaction score 228 Sep 10, 2016 #49,391 HAHAHAAAAAAA Game tamu sana hii
ipatama JF-Expert Member Joined Jun 16, 2016 Posts 348 Reaction score 228 Sep 10, 2016 #49,392 GOAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAALLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLL
GOAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAALLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLL
ipatama JF-Expert Member Joined Jun 16, 2016 Posts 348 Reaction score 228 Sep 10, 2016 #49,393 HAHAHAAAAAA
C chamakh JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 1,097 Reaction score 1,384 Sep 10, 2016 #49,394 Hii timu hata siielewi kabisa
rubaman JF-Expert Member Joined Sep 10, 2011 Posts 4,983 Reaction score 3,084 Sep 10, 2016 #49,395 Yes Kos the boss to the rescue
rubaman JF-Expert Member Joined Sep 10, 2011 Posts 4,983 Reaction score 3,084 Sep 10, 2016 #49,396 Nadhani kuna weakness kati ya two CB na MF. Arsenal wangesingempanga Mustafi this early.
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,374 Reaction score 38,248 Sep 10, 2016 #49,397 jonax said: Arsenal leo mnakaribishwa kwenye thread yetu ya Man U kuja kutupa pongezi baada ya kumfunga Man City 3-0 Asanteni. Click to expand... Hongera sana.
jonax said: Arsenal leo mnakaribishwa kwenye thread yetu ya Man U kuja kutupa pongezi baada ya kumfunga Man City 3-0 Asanteni. Click to expand... Hongera sana.
Patience123 JF-Expert Member Joined Mar 10, 2013 Posts 5,092 Reaction score 8,786 Sep 10, 2016 #49,398 Eli79 said: Kama kawaida, leo tunadhinda game. Naona Alexis kaanzia bench leo. Click to expand... Shkamoo mtani...
Eli79 said: Kama kawaida, leo tunadhinda game. Naona Alexis kaanzia bench leo. Click to expand... Shkamoo mtani...
SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member Joined Aug 25, 2010 Posts 9,539 Reaction score 5,923 Sep 10, 2016 #49,399 Hongereni watani
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,564 Reaction score 119,620 Sep 10, 2016 #49,400 Patience123 said: Shkamoo mtani... Click to expand...