UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Af sijui huwa anajisikia Vipi kusimama kifua mbele kua ataspend big this summer Yani daaah kwa kweli ili kabira nomaa duuhArsenal wameambiwa Lacazette atagharimu si chini y 40M na LACAZETTE akataka uhamisho Ijumaa, wao wamepeleka 35M, ajabu sana.
Huyu mzee sifahamu ana matatizo gani na pesa ambayo si yake.
Af sijui huwa anajisikia Vipi kusimama kifua mbele kua ataspend big this summer Yani daaah kwa kweli ili kabira nomaa duuh
UsinchekesheWenger anafahamu wazi kwamba mwenye timu ya Lyon ni very tough negotiator hasa kwenye masuala ya mpunga na amesema anataka Euro 50M that's it.
Arsenal wangesogea angalau hata Euri 45M zingetosha.
Wewe unatafuta mshambuliaji halafu unaweka Euro 35M na watu wote wanaangalia PL ina pesa, si utani huo?
West Ham waliweka Euro £40M wiki iliyopita na ikakataliwa, yeye anaweka Euro 35M!
Lakini wanaweza kwenda tena, tungojee lakini isiwe tena Euro 35,000,001
Higuaín tayari iko confirmed Euro 94M (pauni 75M).Daaah nasikia higuain tayari kasajiliwa
Unaeeza kuta yuko sawaHiguaín tayari iko confirmed Euro 94M (pauni 75M).
Mzee Wenger atakuwa amekasirishwa sana na hii.
....mpira wa siku hizi ni pesa tu, yani usipozitoa wewe watazitoa wenzio, na hivi kuna pesa nyingi za TV timu za uingereza zitaanza kuzipata, bado nategemea kuona vurugu kubwa kwenye usajili.
Huyu babu mzembe sana kwenye kula bata ni nyoko ila usajiri anaona uchungu WA kutumia pesa zisizo zake....mpira wa siku hizi ni pesa tu, yani usipozitoa wewe watazitoa wenzio, na hivi kuna pesa nyingi za TV timu za uingereza zitaanza kuzipata, bado nategemea kuona vurugu kubwa kwenye usajili.
Ndezi sana hili lizeeeee..... 😀 😀 😀 😀Huyu babu mzembe sana kwenye kula bata ni nyoko ila usajiri anaona uchungu WA kutumia pesa zisizo zake
Huwa anafanya hivo kwa mchezaji asiemtaka, ndio kawaida yake, anacheza na akili zetu. Babu anapenda sana kununua wachezaji ambao hawana coverage kubwa ktk media wkt wa usajili.Arsenal wameambiwa Lacazette atagharimu si chini y 40M na LACAZETTE akataka uhamisho Ijumaa, wao wamepeleka 35M, ajabu sana.
Huyu mzee sifahamu ana matatizo gani na pesa ambayo si yake.
I suwea ningekua muingereza huyu mzee nishavunja miguu siku NyingHuwa anafanya hivo kwa mchezaji asiemtaka, ndio kawaida yake, anacheza na akili zetu. Babu anapenda sana kununua wachezaji ambao hawana coverage kubwa ktk media wkt wa usajili.
Ona xhaka. Ona Takoma. Ona jana kwa Holding. Lacazatte na Mahrez, mpaka nione wamevaa Emirates Puma, ndio ntaamini!
Uku ireland kila mtu ananshangaa napataje courage yakushabikia arsenal yani daaah.... Unasikia "we heard you plan to spend big...did arsenè stall ur pig saving... Unabaki we in top four,die hard.. what record do you have in this past two years.. Ndo unajidefence hapo daa yan zigo kama pumbu huyu mzee
SizaniHata hivyo kama nilivyosema hapo mchana kwamba Lacazette hakuwa prime target wao wana prime target yao ambayo pengine ina dau dogo zaidi.
Sababu ni kwamba hiyo itakuwa cover kwa Girud na ukizingatia Theo Walcott nae yupo pia.
Hivyo wanatumia kila aina ya uhuni na mwenzie Gazidis kutaka kuchezea akili zetu wana gunners.
Huyo wenger ni ****** barid tena shoga LA Guantanamo hawez tuletea usenge kama huu miaka nenda rudii whufc wamepeleka £35 wamekataliwa Kwahiyo yeye anajikuta mentali Yani very stupid huyu mzee Af anaupdate kua ataspend big this summer very stupid