Unless kama mkiachana na mfumo wa 4-3-2-1..Olivier Giroud alishindwa kumalizia mipira mingi iliyotengenezwa na viungo wa Arsenal na Jamie Vardy ataiweza kazi hiyo.
nmesoma sehemu kuwa, atatafuta ST mwingine tena baada ya Vardy? is that possible?Olivier Giroud alishindwa kumalizia mipira mingi iliyotengenezwa na viungo wa Arsenal na Jamie Vardy ataiweza kazi hiyo.
Laccazette, Icardi, Bacca, Chicharito, Nolito etc
I'd choose them over Vardy.
And am not denying kuwa Vardy ni good ST..
nmesoma sehemu kuwa, atatafuta ST mwingine tena baada ya Vardy? is that possible?
Au anataka kum-offload Giroud?
nmesoma sehemu kuwa, atatafuta ST mwingine tena baada ya Vardy? is that possible?
Au anataka kum-offload Giroud?
hahahahahaha.Jamie Vardy ana uzoefu wa ligi ya Uingereza na ni hicho tu.
Pili, wawakilishi wa Vardy walikuwa wakimsaidia (sounding out) mkataba mwingine mnono wa zaidi ya hiyo 80,000 anayopata huku akiwa na mkataba na Leicester ambao una kifungu kinachoruhusu timu ingine kuja na milioni 20.
Arsenal leo wameipiku Liverpool ambao nao walikuwa waingie na 140,000 kwa wiki.
Hivyo kwa mwendo huu kwa Vardy ambae anataka mkataba wa miaka 4 sio mbaya akistaafu kuchezea the Gunners.
Yeah, nimeipata point yako..Arsenal wameangalia sana uzoefu wa PL na akina Morata watachukua muda ku-adopt.
Jamie Vardy anakwenda moja kwa moja kwenye first eleven na anachukua nafasi ya Giroud.
Yeah, nimeipata point yako..
but at 29??
huoni kama kuna kitu??
Wenger kutoa £20m kwa mchezaji wa umri huo, na the quoted wages ni ishara kwamba kuna kitu anajaribu kufanikisha kabla hajaondoka.
BUT, nimependa Jinsi Wenger anavyo-Act fast kwenye signings safari hii..ananifurahisha sana.
Yeah, Uzuri wa Vardy ni English Player, wale huwa wanacheza kwa Pride zaidi, tofauti na Foreigners, so kwa Vardy kutakiwa na Arsenal ni kitu kikubwa sana kwake, haijalishi alipata mafanikio gani msimu uliopita na Lei..English players wengi wanakuwa wakiwa na dreams za kuzichezea Arsenal/Liver/United ni kama Simba na Yanga hapa Bongo.Lol
Ni kweli Wenger anaandaa mtu atakaechukua mikoba yake baada ya misimu kama miwili hivi.
Halafu safari hii anact kwa haraka sana kwani kulikuwa na Liverpool na Man Utd.
Man Utd wakaona wakimsajili Vardy watakuwa wanamnyima nafasi dogo Rushford na wakaachana na suala la Vardy.
Lakini sasa Man Utd watamsajili Ibrahimovic kama second choice striker.
Ila hii move imechukuliwa kuwazuia Liverpool.
Mourinho nae alikuwepo Wembley kumuangalia Vardy na ndipo leo jioni hii wazee mazungumzo wa Gunners wameingia Leicester.
Yeah, Uzuri wa Vardy ni English Player, wale huwa wanacheza kwa Pride zaidi, tofauti na Foreigners, so kwa Vardy kutakiwa na Arsenal ni kitu kikubwa sana kwake, haijalishi alipata mafanikio gani msimu uliopita na Lei..English players wengi wanakuwa wakiwa na dreams za kuzichezea Arsenal/Liver/United ni kama Simba na Yanga hapa Bongo.
So ilikuwa ni Easy Call kwa Wenger, Vardy hana uthubutu wa kuiturn-down Arsenal.
Lol, na wachezaji wengi sana wanasemaga ni ngumu sana kuturn down Wenger's phone call..
kitu kizuri kuhusu Vardy atacheza kwa Passion, ni kila dream ya English players kufanikiwa katika hizi Big clubs za England.
Garry Lineker ni shabiki na Legend wa SpursKuna chawi moja hivi waga sijui kwanii haipendi arsenal kiasi hicho, wenger asipofanya usajili mzuri anaponda, asipofany vzr mwenye ligi anaponda ss now wenger anafanya usajili mapema bado kwake shida, saizi anamwambia vardy asiende arsenal. Gary lineker
hahahahahaha.Kuna chawi moja hivi waga sijui kwanii haipendi arsenal kiasi hicho, wenger asipofanya usajili mzuri anaponda, asipofany vzr mwenye ligi anaponda ss now wenger anafanya usajili mapema bado kwake shida, saizi anamwambia vardy asiende arsenal. Gary lineker
Kuna chawi moja hivi waga sijui kwanii haipendi arsenal kiasi hicho, wenger asipofanya usajili mzuri anaponda, asipofany vzr mwenye ligi anaponda ss now wenger anafanya usajili mapema bado kwake shida, saizi anamwambia vardy asiende arsenal. Gary lineker
Ndio maana Gary Lineker aliulizwa na Pierce Morgan mbona anaingiwa hofu?
Hii move imewastua watu wengi ambao ni "pundits" kwani baada ya Wenger kukutana na "mtaalam wa usajili" bwana David Dean, basi akachukua hatua za haraka.
David Dein ndie aliewaleta Arsenal- Patrick Vieira, Thierry Henry, Denis Bergkamp. Slyvain Wiltord na mkoba wa maana Sol Campbel ambae walimsajli kutoka Tottenham Hotspurs, ambao mpaka leo hawatamsamehe kwa kitendo kile.
Hii move ya Vardy ni ya aina yake, na wapenzi wa Leicester wataelewa tu.
Hongereni wakuu kwa sign za fasta fasta ..... welcome vardy
Icard lolLaccazette, Icardi, Bacca, Chicharito, Nolito etc
I'd choose them over Vardy.
And am not denying kuwa Vardy ni good ST..
IcardiLaccazette, Icardi, Bacca, Chicharito, Nolito etc
I'd choose them over Vardy.
And am not denying kuwa Vardy ni good ST..
Good deal kwa arsenal..bit of a risk coz hatujui vardy ni one seasonal wonder au he will carry form yake ya msim uloisha..but in terms of what he brings,he will fit well at arsenal.Arsenal wameangalia sana uzoefu wa PL na akina Morata watachukua muda ku-adopt.
Jamie Vardy anakwenda moja kwa moja kwenye first eleven na anachukua nafasi ya Giroud.