Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nadhan dogo anaweza akaishia City..

You Guys should gp all over for Benzema Aisee, maana naona Madrid are in for Lewandowski.

Deal ya Morata inaweza ikadrag on mpaka August..mkajikuta mme-miss targets zingine..

But, round hii Wenger Means Business Aisee, GRANIT XHAKA ni BONGE ya SIGNING..
 
Ila morata kweli ndio suluhisho la jipu letu!? Atawezakutupa goli 20+ epl!?
 

Itakuwa hivyo kama strategy kwa Man City.

Lakini Real Madrid wamefanya mazungumzo na Robert Lewandowski hivyo kama atakwenda Real basi Benzema anaweza kwenda Arsenal au Man Utd na Morata atakataa kuwa bench hivyo kuwepo uwezekano wa Morata nae kwenda Arsenal, PSG au hata Man City.

Kwenye dirisha la usajili na mfumo wake wa uhamisho wa wachezaji umejaa usiri mkubwa baina ya timu husika kutokana na kuwemo maskauti, mawakala na wawakilishi wa timu husika na wadau wa kawaida.

Utakumbuka suala la Willian ambae alinyakuliwa na Chelsea alipokuwa akijiandaa kwenda kufanya medical na Tottenham.

Willian akikwishakubali kufanya usajili na Spurs lakini "one phonecall" ya Mourinho ikambadili mawazo.

Na hivyo ndivyo ilivyokuwa juzijuzi wakati "one phonecall" ya Wenger mwenyewe kwa Xhaka ilimpa uhakika wa uhamisho.

Ndivyo itakavyokuwa kwa Klopp na Guadiola ambao nao wana connections kwa insiders.

Hivyo inawezekana kutokea lolote hasa baada ya Mourinho kwenda Man Utd na wakala wake "super agent" bwana mendez ambae ana ushawishi mkubwa kwa wachezaji wengi wa La Liga.

Ndio maana Arsenal safari hii wamewahi kwanza na Xhaka na watawahi kwa wachezaji wengine wawili.

Na si Motara pekee ambae anawaniwa na Arsenal, pia wanaangalia kwa Duvan Zapata wa Udinese (yupo hapo kwa mkopo kutoka Napoli), Paulo Dybala, Aubameyang, Lukaku, Daniel Sturidge, Higuaín, Edinson Cavani, Ramadel Falcao, Mauro Icardi na Mitchy Batshuayi wa Marseille.

Hivyo tungojee tu shocking news hivi karibuni.

Ila hili halina ubishi Arsene Wenger akikosea mahali safari hii basi Arsenal wanaweza kushika nafasi 6 msimu ujao.
 
hahahaha, Cant see us giving you Sturridge Aiseee, hahaha

Lukaku naona Chelsea are strongly in for him, nadhani battle ipo kati ya Chelsea na PSG..

Heard somewhere kuwa Auba ni Madrid bound?? either way sidhani kama atataka kuja Arsenal..

Higuain ni perfect choice Aisee, na Cavani pia..And wote hao wanaweza patikana kama Wenger akiamua kupush it hard...

Dybala Sidhani kama atavutika na kuja Arsenal, na Sidhan kama Wenger anaweza akamshawishi..Top prospect ile..Club kubwa nyingi zinamwangalia kwa Club, nadhani baada ya msimu ujao ndo anaweza akamake a move..

So IMO, Morata, Higuain, Cavani, Benzema, Laccazette, Michy, Icardi etc ndiyo STs ambayo Arsenal inaweza kuwashawishi..Lukaku inawezekana sana lakini kwa price tag yake sioni Wenger akimove for him, and Sturridge inawezekana SANA kwasababu pia ni Arsenal fan vilevile but LFC wont let him join you guys lol..labda mlete *monster offer" ambayo tutakuwa wajinga kuiTurn down..
 

Sawa mkuu wa Cop.

Akija kwa Sturridge Wenger safari hii hatafanya yale ya Suarez ya 40M+£1

lol.
 
Sawa mkuu wa Cop.

Akija kwa Sturridge Wenger safari hii hatafanya yale ya Suarez ya 40M+£1

lol.
hahahahahahahahaha

Sidhani kama Klopp ana mpango wa kuuza Top players summer hiii.
 
hahahahahahahahaha

Sidhani kama Klopp ana mpango wa kuuza Top players summer hiii.

Yes, uko right.

Ila Wenger amebadilisha strategy hasa baada ya shoking display ya Olovier Giroud ambe amecheza mechi 15 bila kufunga.

Ndio maana hizo targets zipo mezani.

Tusubiri msimu ujao utakuwa wa patashika, hapatakalika.
 
Yes, uko right.

Ila Wenger amebadilisha strategy hasa baada ya shoking display ya Olovier Giroud ambe amecheza mechi 15 bila kufunga.

Ndio maana hizo targets zipo mezani.

Tusubiri msimu ujao utakuwa wa patashika, hapatakalika.
Wenger itabidi aacf fast pia, kafanya vizuri kumsign Xhaka mapema, but bado anahitaji CB na ST.

Tatizo ni kwamba Pep, Jose, Conte wote watakuwa Sokoni na HELA kibao, sanasana Pep, coz nmeona sehemu kuwa only Aguero, De Bruyne na Fernandinho are SAFE..so ataspend sana Aisee. cha msingi ni kuact fast sana kabla ya euros.
 
hahahahahahahahaha

Sidhani kama Klopp ana mpango wa kuuza Top players summer hiii.
Danny Sturridge ni Injury Prone

na kwa Calamity la majeruhi arsenal pale

Simtaki huyo Sturidge ataishia ((Treatment room))

No to danny sturridge
 
Danny Sturridge ni Injury Prone

na kwa Calamity la majeruhi arsenal pale

Simtaki huyo Sturidge ataishia ((Treatment room))

No to danny sturridge
hahahahha, umenichekesha kashengo

Hawezi kuja ndiyo, acha tuendelee kubaki na mgonjwa wetu.
 

Ni kweli ndio maana yupo busy sana safari hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…