We jamaa wewe,ukali I meant ile hali ya kujituma zaidi,kama unatuatilia arsenal na n member nadhan huwa unaona mchezaji akikosea anaelekezwa vipi,timu yoyote bila kocha kukomaa hakuna jipya,Wenger kajisahau,unakumbuka kipind wakina Vieira wanagombana,Leo iko wapi,kocha kama ana kibarua no matter matokeo hakuna jipya hapoUnaelewa kandanda inavyofundishwa?
Mourinho na "ukali" wake na mafanikio yake amefukuzwa kazi na mafiaso wa kirusi.
Unaweza kueleza "ukali" wa Ranieri?
Je Ranieri alipofundisha Chelsea hakuwa "mkali"?
Mimi naamini upoyoyo uko kwa wachezaji. Wenger anafundisha mpira na mbinu nzuri na safi tu kwa mchezo wa kandanda. Tena style ya Arsenal inavutia sana machoni. Kinachokosekana ni wachezaji kujitoa mhanga na kukuza hamu ya kushinda ukiachia wachache kama Coquelin, Alexis,Welbeck, Campbell, Bellerin, Cech, Cazorla.
cc. Ntuzu, Enzo
Akina Viera waligombana na Wenger? Au Wenger aligombana na akina Viera?We jamaa wewe,ukali I meant ile hali ya kujituma zaidi,kama unatuatilia arsenal na n member nadhan huwa unaona mchezaji akikosea anaelekezwa vipi,timu yoyote bila kocha kukomaa hakuna jipya,Wenger kajisahau,unakumbuka kipind wakina Vieira wanagombana,Leo iko wapi,kocha kama ana kibarua no matter matokeo hakuna jipya hapo
Umenichekesha sana, Teh teh, kwe kheeeeeeee...... baada ya kufungwa goli la kwanza basi wachezaji wakaamini ndo washapoteza mechi tayari
Ila take Liverpool as a benchmark uone jinsi Klop alivyoijenga timu kisaikolojia, same players ila performance tofauti kabisa na ya Brendan....angalia mechi yao na Dortmund from 3-1 down to 4-3 kitu ambacho kwa Arsenal ya AW ni day dream
Umenichekesha sana, Teh teh, kwe kheeeeeeee.
Unazungumzia Liverpool iliyofungwa na Swansea 3-1 au Liverpool ingine?
Kwa hiyo unataka mchukue nafasi waliyo Liverpool? Hivi Liverpool wako nafasi ya ngapi katika msimamo wa Ligi?
Yule jamaa wa majogoo, Mayafyale, mafyalala au maafayale , kunradhi nimesahau jina lake nafikiri anatamani Liverpool ifike nafasi ya 3 au ya 4. Naamini hata Mafiaso wa Kirusi anatamani amwajiri Wenger ili Chelsea wacheze kandanda mwanana/kitale na sio mieleka na rugby.
Aiseee Wenger ana uzalendo, miaka 19+ kufundisha Timu moja.!!!
Saikolijia ya Klopp.
Link Swansea City 3-1 Liverpool
Hii kitu aione, Ntuzu, Enzo, Everlenk, herrera.As a manchester utd fan, you can never understand what an Arsenal fan means....only herrera (a fellow utd fan) can understand you...Arsenal fans understand what an Arsenal fan says!!!
Mnamwonea Wenger. Wenger amewanununulia wachezaji wa bei mbaya, Ozil, Alexis hawa wawili fedha iliyotumika ni karibu sawa na fedha iliyotumika wachezaji wote wa Leicester.With two game to play and as Lei just need two points to be crowned new champ depending on the tonight's game. If this LEI is given to Mr AW we not sure if he can manage to get this valiable two points.
Ama kweli we need changes
#WengerOut
#WengerOut
#WengerOut
#WengerOut
#WengerOut
#WengerOut
Mmefurahi sana kwa Tottenham kukosa ubingwa?I'm glad this season is over.Wapemba wamebeba kombe.Tusubiri msimu ujao
Ipi aibu kubwa, kuchukulia ubingwa kwa mtu au kufanya hii mambo? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Man U aibu inawakuta msimu hawatausahau kamwe kwani chelsea akimfunga spurz ...Leicister atakua bingwa na pale king power stadium wataandika 2015/2016 ubingwa wameupatia old trafford😀🙁😀
Mmefurahi sana kwa Tottenham kukosa ubingwa?
Ipi aibu kubwa, kuchukulia ubingwa kwa mtu au kufanya hii mambo? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 344290View attachment 344291
Utasemaje Leicester timu ndogo wakati wachezaji wake wana medali ya PL kitu ambacho 99% ya wachezaji wenu wanakisikia redioniAibu kuandikwa uwanjan kwa timu ndogo kizazi hadi kizazi wanaona
Welback,sanchez cech ongeza na wengine watatu ndio waliopata bahati ya kunyanyua kwapa.Utasemaje Leicester timu ndogo wakati wachezaji wake wana medali ya PL kitu ambacho 99% ya wachezaji wenu wanakisikia redioni