Kwa mara ya kwanza sijisikii vibaya arsenal kufungwa ktk muda na mechi muhimu.
Leicester wakishinda wanastahili kikombe! Bravo, kuwa mkweli, napenda washinde!
Siku hizi wanasema hii ni morden foul kwamba eti mshambuliaji anaweza kumwendea mlinzi kwa minajili ya kutaka kukwatuliwa na kama mlinzi hatamkwepa huyo mshambuliaji na akamgusa basi hiyo ni adhabu ya penalty.