Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dakika ya 64 Bojan anatoka kwa upande wa Stoke na anaingia Mame Biram Diouf.
 
Dakika ya 73 Theo Walcott anatoka na anaingia Alex Iwobi.
 
Kuna feeling kwamba tunaweza kufunga kagoli kamoja.

Kona kwa Arsenal.

Mohamed Elneny anafanya mazoezi mepesi pembeni anaweza kuingia wakati wowote ule.

Dakika zimebakia 14 na zile za nyingeza.
 
76min Elneny anapasha moto misuli .... ... .... .. ... .. .
 


Marko Arnautovic of Stoke City is tackled by Mathieu Flamini



Stoke City's Joselu (right) attempts an unsuccessful shot
on goal in the second half




Sparky anampa maelezo mchezaji wake
88min ... ... . . kutakuwa na dakika 3 za nyongeza COYG
 
Stoke wapo happy na point 1 na Arsenal wanatafuta goli

Zimebakia dakika mbili tu.
 


What a farce!
Rambo clears from the line .. ... ..
 
Mpira umekwisha wakuu tumetoa draw .... ... ..... ..though on top of the show with goals difference COYG.
 
Game over Arsenal 0 Stoke 0

Makipa wote walikuwa imara.

Arsenal leo tumemkosa Mesut Ozil

Lakini tunaongoza ligi kwa tofauti ya magoli.
 
Chacha wewe bingwa Mbona ka timu ka nchangani kanakutoa jacho......
Teh...

Stoke wako nafasi ya 7 kwenye msimamo wa ligi...

Wanawazidi hata Loserfools na Chelsick...Wanakaribiana na Manure...

Sio wa kuwadharau ati...
 
Teh...

Stoke wako nafasi ya 7 kwenye msimamo wa ligi...

Wanawazidi hata Loserfools na Chelsick...Wanakaribiana na Manure...

Sio wa kuwadharau ati...
Haya pole sana naona jasho limekutoka kweli kweli.....
 
Chacha wewe bingwa Mbona ka timu ka nchangani kanakutoa jacho......


Hivi mna point ngapi vile? Usisahau Britania kuna upepo wa kufa mtu na kiwanja chao ni kibovu sana, Wacha iwe draw tuliwachabanga 2 mtungi Emirates wamei-prove kidogo. Khe khe khe he khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Vipi Tottenham bado wako juu yenu au?
 
Mkuu lakini Man City walipigwa 2-0 hapahapa Britannia.
Chelsea na united kama sijakosea nao walikalishwa hapa! Britannia sio uwanja mwepesi hata kidogo, nina furaha tumepata point moja! Si haba. Kama The Gunner, huwa nakasirika sana tunapodroo na timu ambazo tungeweza kuzifunga sababu ya kukosa fighting spirit na urgence, leo hivi vitu vilikuwapo, Wenger alikuwa anaonyesha kabisa anataka pt 3 na wachezaji walikuwa wanafight!

P.s: Cech is simply the best! Mpaka sasa tuko juu pale kuna mechi single handedly katupatia points mpka sasa ana kama points nane hivi katuongezea!
 

Hii 1 point inatufaa sana na ianrudi nyuma wiki ilopita.

Wenger hakutaka Ozil acheze leo kwa kuangalia mechi na Chelsea jumapili ijayo uwanjani Emirates.

Ozil ni "creative midfielder" na kama angecheza leo pia asingefanya kazi ngukmu sana kwa kuogopa kuumizwa lakini ni matokeo mazuri tu kama nilivyosema hapo awali kwamba sasa tuna 7 points better off kutoka mwaka msimu ulopita.

Utashangaa mechi na Chelsea Arsenal wanakuwa ni wengine kabisa na Ozila na Sanchez watacheza.

Itakuwa ni mechi ya kupiga indicator kuashiria tunafukuzia kombe rasmi.
 


OG disappointed .... ..



Showcross and OG disagree ..... .



Cech ... ... man of the match
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…