Dakika ya 11 inakwenda na kila timu inaanza kutulia. Wachezaji wa Stoke wamekuwa wakiwasaka wachezaji wa Arsenal kama vile kuna "fox hunting" wanafanya kitu kinaitwa "hounding" au kusaka
Alex Oxlade Chamberlain anashindwa kabisa kumiliki mchezo ni kwasababu hachezi mechi nyingi sana. Nafikiri mzee Wenger atakuwa amepanga kumuingiza Elneny kwenye nafasi ya Chamberlain baadae.