Aiseeeee!!!! Wamechomoa mjilaumu sana aiseee....ila nakushukuruni mmenipunguzia kasi maana walikuwa wanakuja resi vile vile niwashukuru Cops Kwa kukupunguza nguvu wewe......kheeeeeeeeeeeeeee
Aiseeeee!!!! Wamechomoa mjilaumu sana aiseee....ila nakushukuruni mmenipunguzia kasi maana walikuwa wanakuja resi vile vile niwashukuru Cops Kwa kukupunguza nguvu wewe......kheeeeeeeeeeeeeee
Kops wamejitahidi, one of those days, we are OK so far hatukupoteza game Loser fools hongera zao kwa sababu tumepoteza point 4 kutoka kwao musimu huu, labda tukutane nao tena kwenye FA cup vinginevyo tumemalizana nao. Kuanzia wiki ijayo Alexis atakuwepo kumsaidia OG.
tumefungwa goli la 3 rahisi sana....ili tushinde huu msimu inabidi tuwafanye waogope ila tunashindwa kufanya hivyo; kwa matokeo ya leo kiukweli nimekuwa disappointed sana
Aiseeeee!!!! Wamechomoa mjilaumu sana aiseee....ila nakushukuruni mmenipunguzia kasi maana walikuwa wanakuja resi vile vile niwashukuru Cops Kwa kukupunguza nguvu wewe......kheeeeeeeeeeeeeee
Ahlaaa kumbe unakuja huku Na kule kote unajifanya rafiki kumbe adui mchinganyishii everlenk tehteh game Leo ilikuwa kali inakila kitu mazuri,mabaya Na mvua Na snow haikuwa boring za Old Traford Ss everlenk kaa mkao mzuri mkija nyie Anfield tunatoboa
Wakuu wa Gunners hakuna wasi wasi our home run is good na Alexis anarejea maana Theo kavurunda leo kwa goli la kwanza na Cech -mate goli la tatu too soft. I can understand Wenger's anger. Wachezaji wamepata kila kitu mvua, snow na baridi.
Akirudi Coq tunafunga biashara in two weeks.