Katikati hatuko vizuri we are too much exposed walcot nae hatusaidii sana ozil amekua kimya pace ya gem imemuacha nyuma Liverpool look sharp ila beki yao INA matatizo
Asernal katikati inakatika kiaina, halafu kuna madogo wanakokota sana hadi wanachukuliwa mpira, mfano huyu Cambell mpira haukai mguuni, labda kipindi cha pili watajirekebisha, ngoja tuone