Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Alex Oxlade Chamberlain anaingia kuchukua nafasi ya Joel Campbell.
 
Jose Fonteeeeeeeeeeeeeeeeeee, Southampton 3 Arsenal 0

Hii sasa ni tatizo.
 
Polen sana tuliwapunguzia kitonga anfield naona imeshindikana teh teh teh...
 
Polen sana tuliwapunguzia kitonga anfield naona imeshindikana teh teh teh...

Hali hii hutokea kila mara Arsenal wanapopunguziwa Kitonga.

Lakini si mbaya sana bado tupo nyuma kwa 2 points
 
Arsenal bado ni best team kwenye EPL na leo wamekutana na timu ya Koeman ambayo imepangwa vizuri, na wamepatikana.

Southampton wanacheza mtindo ambao Arsenal waliutumia kuifunga Man City

COYGs!
 
kwa mtindo huu arsenal kuchukua ubingwa ni ndoto. bado saaanaaaa
 
Theo Walcott anatoka na nafasi yake ianchukuliwa na Alex Iwobi.

Dakika inakwenda ya 80

Southampton 3 Arsenal 0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…