Hivi Sanchez bado kupona?
Tusipoongoza ligi leo! Ubingwa kwaheri!
tatizo la wachezaj wetu wa
arsenal wanacheza tu ilimradi tu bas, hawajui wanacheza kutafuta nn
Dakika zimebaki 6 mchezo uende mapumziko na Southampton wanacheza kwa bidii kwelikweli.
Walcooott oh no anapiga nje ya wavu.
Hili gazeti ni kama Mawio au Mwanahalisi hapa Tz. Udaku!