barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,811
kila mkipangwa nao mnasema hivyo hivyo
Wakati Arsenal tukichuana na creme de la creme, wenzetu wa kule Lancashire county wanatu-admire tu.
Washabiki nanyi muache kukariri, sio kila mara Arsenal itafungwa na Barca. Sioni Barca wakifurukuta!

acha mbwe mbwe wewe, jiandae kisaikolojia kupakatwa. na sali sana magoli yasije yakazidi yale ya bayarn ..............
Dah hivi kila mwaka lazima tucheze na Bercalona eeh, hawa wachambua vikaratasi siwapendi basi tu

we jipe moyo tu!" angalia kilichomtokea mwenzio baada ya kusikia kapangwa na baca.Buyern ni bora mara tatu ya barca mwaka huu! Naiogopa Zenit St. petersburg kuliko Barcelona, alafu, sisi ni underdogs, nothing to lose!
Barca ya mwaka huu ni ya mtu mmoja, Iniesta! Watakaa tu, wajiandae wao kisaikolojia, mi nimejiandaa kisaikolojia kuwabamiza
In Jesus name tutashinda mech I yetu na Barca!