kwa jinsi ligi msimu huu ilivyo, Asenali walipaswa kuwa kileleni kwa takribani tofauti ya points 6. tatizo lilopo Ni kwa kocha kutokuwa na ile spirit ya kukomandi timu. angalia game zote walizodondosha points, Ni game ambazo walipaswa kupata matokeo ila kwa vile kocha hana ile amsha amsha ya kuwapump wachezaji, basi timu inacheza kinyonge na kujikuta ikishindwa kupata matokeo. ila kama wakijitahidi kidogo kwa kuongeza umakini, msimu huu kwapa zinaweza kunyanyulika na hatimaye lile Vumbi lilijaa kabatini sehemu yanapokaa makombe ya EPL likafutika!