Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Everton wanaweza kuondoka na draw hapa. Arsenal tunamiss something. Come on Arsenal!!!!! ushindi muhimu leo
 
Top on the table. Looking them down, focusing top even top and top.
 
Everton wanaweza kuondoka na draw hapa. Arsenal tunamiss something. Come on Arsenal!!!!! ushindi muhimu leo
Giroud sio striker ni mganga njaa tu kama angekuwa striker mzuri leo angepiga hat trick
 
..Arsenal go top of the premier league table!
 
Natamani Arsenal wachukue kombe maana Morinho wetu amewatukana sana
 
Sijui alikuwa herrera or Belo aliyekuja na stats za Mata/Herrera kuongoza kwa assist na goals msimu huu? Nikumbusheni Ozil vs Mata/Herrra nani ana assists nyingi?

Hahahaaa, mkuu tulikua tunaongea kwa kipindi kile kabla hajaongeza hizi zingine,
BTW hong?reni sana
 
Last edited by a moderator:

Take that .... .... . Ding ... Dong

LK seals the deal ... .... Ding .... Dong

LK and OG celebrate .... ...

Alexis alikuwepo .... ..

Og was unlucky with this short which hit the woodwork

Gareth Barry saw red (93rd min) after this stupid challenge on Gibbs ...
 
Prof kama kawa akifuatilia mtanange .... . ..

Next: Away game - kombe la mbuzi Vs Sheffield Wednesday
 
Nitakuwa mchoyo nisipowapongeza kwa ushindi wa leo na hatimaye mmekuwa top of the table......Hongereni sana rubaman Wacha1 Eli79 Cardinal06 #AllAFCFans

Thanks. Kessho nitakupa pole baada ya City kuwagonga.... Cha muhimu mlio home kesho pigeni kura na mlinde kura zenu zisiibiwe msiangalie mpira. Mustakabali wa nchi yetu ni muhimu kuliko soka la dakika 90.
 
Weeeee ushindi lazimaaa kama kawaidaaa,na kura mapemaaaa saaa 2 nipo kituoni ushindi kesho mara mbili weeeeeeeeeee siwezi kosa kote kesho Niambie unakunywa kinywaji gani. ....lol
 
Wakuu habari, chama limetulia amakweli nimeamini Wenger no genius, sasa kilichobaki dirisha do go aimarishe kwa kutuchukulia defensive midfielder na Amazing Striker. ubingwa ligi kuu uleeeeeeee🙌🙌🙌🙌👏
 
Wakuu habari, chama limetulia amakweli nimeamini Wenger no genius, sasa kilichobaki dirisha do go aimarishe kwa kutuchukulia defensive midfielder na Amazing Striker. ubingwa ligi kuu uleeeeeeee🙌🙌🙌🙌👏

arsenal Kama ukawa ni mwendo wa dozi tu

Natunza hizi...tena wewe ndiyo uwa unapotea kabisa humu...ngoja tusubiri...kabla ya #WengerOut hazijaanza tena...
 
Natunza hizi...tena wewe ndiyo uwa unapotea kabisa humu...ngoja tusubiri...kabla ya #WengerOut hazijaanza tena...

Nzi umekariri sana asee, huu ni mwaka wa mabadiliko mkuu....ukitegemea kuja kushindana na sisi mwishoni mwa ligi ukidhani tutakuwa tumechoka utasubiri sana safari hii; iandike hii "mwaka huu arsenal ndo bingwa kwa mwendo huu huu mwanzo mwisho"
 
Sawa stable-negro
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…