Half time sasa bado mabao ni 1-1..Tatizo Arsenala hatuna mshambuliaji mwenye nguvu anayeweza kujaribu kufunga hata kwa mbali,badala yake waliopo wanataka wasogee hadi karibu na goli ndio wafunge...Fabregas peke yake ndo anajaribu mara nyingi kufunga akiwa mbali mara anapopata nafasi..Huyu dogo Ramsey naona anarembaremba tu humu
Nammiss sana Van Persie,namuombea apone haraka mshambuliaji wetu wa ukweli huyu