Bavaria mmoja wa maskauti bora kabisa wa arsenal ni mfaransa mmoja anaitwa Gilmand hivyo ndio maana arsenal wana access ya wachezaji wa ufaransa. Vile vile wenger alshafundisha Monaco. Na story za mastaa wengine aiotaka kuwanasa ni za kweli. Vijana Leo wamepeform vizuri. 5star performance