Teh teh teh teh hili jukwaa kwa kipindi cha ligi unaweza cheka mpaka basi mmh kuweni na subira mpira ni 90' lolote laweza tokea
In the mean time tuacheni mashabiki wa west ham tusheherekee ushindi.
Mkuu kuna mtu umu alinishambulia sana kule OT lakini yeye ni wa uku sasa nasubiri game iishe anipe matokeo
Romero has more clean sheet than Cech,Cortous and Begovic
Ameshapotea humu.
😂😂😂😂😂😂😂😂
wenger hana shida kashabeba ngao ya hisani ..........
Kumbe na ww huwa unatukana......Fucccck mechi ya kwanza tunalala hivi
Mabingwa wa msimu huu tutaanza kesho. Mliopata own goal mtajuta sana...
Mamluki wa Chelsea anatukostisha
Romero has more clean sheet than Cech,Cortous and Begovic