USAJILI UPDATES:
Tutulie tu mazungumzo bsdo yanaendelea huko Spain.
Wenger anafanya tathmini ya mwisho kesho kwenye mechi na West Ham kwenye idara ya ushambuliaji, kwani kwenye mechi na Chelsea si Giroud wala Walcott walofunga goli bali Chamberlain, hivyo inaonekana hali itakuwa ileile ya msimu ulopita.
Arsenal wanahitaji mshambuliaji wa aina ya Benzema kwa sababu ana sifa tofauti na Giroud.
Ila deal huenda likafanana na lile la Mesut Ozil ila inasemwa ni kwenye paundi 45M hivi.
Real Madrid nao wanahitaji pesa kumsajili mshambuliaji mwingine, macho yao yakiwa kwa Aguero wa Man City.
Bring on the Hammers kwanza.
COYGs!!