Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mhhhh, ngoja nikae kimya tu kulinda heshima maana naweza chafua hali ya hewa hapa sasa hivi....
 
Last edited by a moderator:

Fa cup umesahau???? Af kuna CV yako moja hujaiweka >>>kugombea big four
 
Last edited by a moderator:
Fa cup umesahau???? Af kuna CV yako moja hujaiweka >>>kugombea big four

Hahahaaaaaa sisi sasa hivi tunagombea ubingwa bhana.
Top four ni liver na Chelsea wanagombania..
Chelsea wanaweza wakawapisha liver kwenye top 4
 
wewe cute b hv wewe na man u yako mnalip la maana tangu lin mkajisifu mbele ya wanaume zenu barca sababu messi kashakupiga hatttick kama hyo haitosh etoo kakufumua 4 kingine type zenu kusajil wazee alaf mnafungwa had na matuid bado mnajiita vidume vp 2:0asenal walizokupiga nusu fainal Na hyo mizee yenu mtakoma yan man.u ndio timu ya ajabu ndani ya miez 12 mmesajil wachezaj 11 alaf matokeo yake mmeambulia nafas ya 4
 
Last edited by a moderator:

Hizi chai nyingine siyo kabisa, Embu leta evidence nani wa kutegemewa haswaa aliyeondoka Man U ? Na alivyoondoka kuna kilichopungua? Wachezaji huingia wachezaji hutoka still Man U inasonga Mbele.
 
Tatizo lako harrera dogo sana na litakwisha kama si kuhama makazi kabisa watu wako serious
 
Jana ulikuwa siku nzuri sana kwetu wana Arsenal.Hasa kumfunga mdomo Morinho.Na nyumbani Azam kuchukua ndoo ilikuwa siku ya amani sanaa.Hongereni BUNDUKI"S wote mema mengi yako njiani kwa stoo yetu ya vikombe.
 
Hizi chai nyingine siyo kabisa, Embu leta evidence nani wa kutegemewa haswaa aliyeondoka Man U ? Na alivyoondoka kuna kilichopungua? Wachezaji huingia wachezaji hutoka still Man U inasonga Mbele.

Falcao,Di maria anatafuta njia,young anatafuta njia vanpersie kasepa
 
Hizi chai nyingine siyo kabisa, Embu leta evidence nani wa kutegemewa haswaa aliyeondoka Man U ? Na alivyoondoka kuna kilichopungua? Wachezaji huingia wachezaji hutoka still Man U inasonga Mbele.

Inasongaje mbele wakati inaporomoka
 
Falcao,Di maria anatafuta njia,young anatafuta njia vanpersie kasepa

Dohhh!!! Unachekesha kweli yaani watu waliocheza msimu mmoja ndo wa kutegemewa?......Young yupo ila anahofu tu kwamba ujio wa Pedro utamuweka Benchi......
 
Yaan wew mkuu barca wamekuloga si bure.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…