Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tatizo la Community Shield hakuna limit ya Subs kama mechi za ligi.
 
Naona hawa wadudu watasawazisha ..... kama walivyotukosa
 
Game la leo linatazamwa kwa hamu na Anti-Arsenal kina Bavaria na United wote kuliko wapenzi wa Arsenal na Chelsea. HT Arsenal 1-0 Rentboys.

Sishabikii arsenal wala chelsea. Naangalia mpira.
Nkigungwa sawa tu.
 
Leo naona Arsenal kama vile wanajifunza the art of parking the bus kiaina.
 
Dakika kama 8 hivi pamoja na za majeruhi ndio zimebaki.
 
Hii ni mechi ya kirafiki. Tukishinda nyie wabaya hamtaihesabu labda tufungwe.

Watu weeeeeeee!!!!! Hongera sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, Wenger kwa Mara ya kwanza katika ubora wake......big up!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…