Tunataka nafasi ya 2 msimu huu...Leo tumekamilisha magoli 100 msimu huu michuano yote,Chelsea wamechukua ubingwa msimu huu na magoli 69 tu .This is our statement for the next season's title ambitions.#Ars10 unbeaten

Ox atarudi lini? Hii first 11 inacheza vizuri inampa Wenger wakati mgumu ku-rotate wachezaji. Ox, Debuchy,Walcott, Wilshere, Welbeck, Gibbs wataendelea kusugua benchi hadi injuries zitakapokuja. Next victim ni Swansea.
Tunataka nafasi ya 2 msimu huu...Leo tumekamilisha magoli 100 msimu huu michuano yote,Chelsea wamechukua ubingwa msimu huu na magoli 69 tu .This is our statement for the next season's title ambitions.#Ars10 unbeaten
Nafasi ya 2 muhimu msimu huu. Nina uhakika katika mechi nne zilizosalia tutapata points za kutufikisha nafasi hiyo. Manchester City na United watapoteza points weekend ijayo.
Tukiwafunga goli 5-0 tunakuwa juu ya Man City on GD na bado tutakuwa na mechi 1 mkononi. Sanchez for his first Arsenal hat trick, Welbeck ndio pekee hadi sasa mwenye hat trick kwa wachezaji wa Arsenal. Sidhani kama Ramsey alishafunga goli 3 mechi moja? Wacha1, BAK....Come on Gooners!!!!!!!!!!!!
Nilisahau Walcott pia kashatupia hat trick ndani ya jezi ya Arsenal. Kwa hiyo current wachezaji wanaofukuzia hat trick ni Giroud, Sanchez, Ramsey( hawa wote wameshapiga braces) Ozil etc